• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Russia yashambulia EU kwa kutumia vigezo viwili kwa Iran

    (GMT+08:00) 2019-02-12 09:40:20

    Naibu waziri wa mambo ya nje wa Russia Sergei Ryabkov amekosoa Umoja wa Ulaya kwa kutumia vigezo viwili kwa Iran. Ryabkov amenukuliwa na shirika la habari la RIA Novosti akisema Umoja wa Ulaya unapaswa kuachana na vigezo vyake viwili wakati unapojaribu kutoikasirisha Marekani, na kufanya vitu kadhaa ili Iran ishuhudie juhudi halisi na kufanya maamuzi sahihi kwa kuhimiza ushirikiano halisi. Ryabkov amesema Umoja wa Ulaya na baadhi ya nchi wanachama wameiwekea vikwazo Iran, kinyume cha kanuni za sheria ya kimataifa na maazimio ya Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako