• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Ofisa wa AU atoa wito kwa nchi za kigeni kuacha kuingilia masuala ya Libya

  (GMT+08:00) 2019-02-12 09:40:41

  Kamishna wa Amani na Usalama wa Umoja wa Afrika Smail Chergui ametoa wito kwa nchi za kigeni kuacha kuingilia kati masuala ya Libya, nchi inayokabiliwa na vita. Akizungumza na waandishi wa habari kando ya mkutano wa 32 wa viongozi wa Umoja wa Afrika uliomalizika Addis Ababa, Ethiopia, Chergui amesema watu wa Libya wameteswa kutokana na vita vya ndani na nchi za kigeni kuingilia kati masuala ya nchi yao.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako