• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Bunge la Marekani lafikia makubaliano ya mwanzo ili kuepusha kufungwa tena kwa idara za serikali

    (GMT+08:00) 2019-02-12 18:17:58

    Wajumbe wa vyama vya Republican na Democratic katika bunge la Marekani wamefikia makubaliano ya mwanzo kuhusu utengaji wa fedha wa baadhi ya idara za serikali kuu, ambazo huenda zitaweza kuzuia kufungwa tena kwa serikali ya nchi hiyo.

    Mwenyekiti wa kamati ya fedha ya baraza la juu la serikali ambeye pia ni mbunge wa chama cha Republican Bw. Richard Shelby amesema, pande hizo mbili za mazungumzo zimefikia makubaliano ya msingi kuhusu miswada kadhaa ya kutoa fedha kwa miradi ya usalama wa mipaka.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako