• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Balozi wa China azitaka nchi mbalimbali zifanye juhudi kutekeleza sera chanya ya ajira

    (GMT+08:00) 2019-02-12 18:47:03

    Balozi wa kudumu wa China kwenye Umoja wa Mataifa Bw. Ma Zhaoxu amesema nchi mbalimbali zinapaswa kufanya juhudi kuchukuta sera chanya ya ajira ili kutimiza fursa za kutosha na za kiwango cha juu za ajira.

    Balozi Ma amesema hayo jana katika mkutano kuhusu sera ya ajira uliofanyika kwenye makao makuu ya Umoja wa Mataifa mjini New York. Balozi Ma amesema, hali ya jumla ya ajira duniani imeendelea kwa utulivu katika miaka ya karibuni, na kusisitiza kuwa, pendekezo la Ukanda Mmoja na Njia Moja limetoa fursa laki 2.44 za ajira kwa nchi zilizojiunga na pendekezo hilo.

    Amesema China imetoa hatua muhimu za kufungua mlango zaidi na kutoa umuhimu mkubwa kwa ajira duniani.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako