• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kenya: Hifadhi ya fedha za kigeni Kenya yaongezeka

    (GMT+08:00) 2019-02-12 20:47:22

    Benki kuu ya Kenya imesema hadi sasa inahifadhi shilingi bilioni 825(sawa na dola milioni 232) kama fedha za kigeni huku shilingi nchini humo ikiendelea kuimarika dhidi ya dola ya kimarekani na fedha zingine za kigeni.

    Benki hiyo imesema fedha hizo zimekusanywa tangu mwanzoni mwa mwaka 2019.

    Taakwimu za hivi karibuni kutoka kwa benki hiyo zinaonyesha kuwa kwa jumla kumekuwa na ongezeko la juu zaidi ya fedha hizo ndani ya miezi minne iliopita.

    Ndani ya wiki moja tu hifadhi ya fedha za kigeni ilifikia dola milioni 96.

    Mwaka huu, wadadisi wa masoko pia wanatathimni jinsi benki hiyo itasimamia fedha za kigeni wakati serikali ikiwa na majukumu makubwa ya madeni ya njekama vile dola milioni $ 750 milioni za Eurobond.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako