• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rwanda: Rwanda yatarajia kuvutia watalii kwenye maonyesho ya kimataifa ya Mediterranean

    (GMT+08:00) 2019-02-12 20:47:42

    Rwanda inatarajia kuvutia wawekezaji wa mashariki ya kati kwenye maonyesho ya kimataifa ya Mediterranean yaliofunguliwa leo mjini Tel Aviv, Israel.

    Maonyesho hayo ndio makubwa zaidi ya kitalii kwenye kanda ya mashariki ya Mediterranean.

    Yanavutia zaidi ya nchi 50 waonyeshaji 1,720 na zaidi ya wageni 18,000.

    Halmashauri ya maendeleo ya Rwanda RDB tayari imeweka kibada kwa jina

    Visit Rwanda kwenye maonyesho hayo ambako wanaonyesh bidhaa za utalii za Rwanda, chai na kahawa.

    Mkurungezi wa utalii na uhifadhi kwenye halmashauri hiyo Eugene Mutangana, amesema ushuriki wa Rwanda kwenye maonyesho hayo ni sehemu ya juhudi zinazoendelea za kukuza nchi hiyo kama kivutio cha biashara na utalii.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako