• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Askari 12 wajeruhiwa baada ya watu wenye silaha kushambulia msafara wa gavana nchini Cameroon

    (GMT+08:00) 2019-02-13 09:01:13

    Askari wasiopungua 12 na mwanahabari mmoja wamejeruhiwa baada ya watu wenye silaha kushambulia msafara wa gavana wa Southwest, moja kati ya maeneo yenye vita yanayoongea Kiingereza nchini Cameroon. Taarifa iliyotolewa na jeshi imesema akiwa kwenye ziara yake kuelekea Kumba, gavana Okalia Bilai alishambuliwa kwa risasi na watenganishi wenye silaha na askari watatu wako mahututi.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako