• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Morocco na AfDB zasaini mkopo wa dola za kimarekani milioni 96 ili kuongeza ajira

    (GMT+08:00) 2019-02-13 09:01:41

    Serikali ya Morocco na Benki ya Maendeleo ya Afrika AfDB zimesaini mkopo wa dola za kimarekani milioni 96.9 ili kusaidia utekelezaji wa miradi ya ajira, kuanzia mwaka 2019 hadi 2021 nchini Morocco. Mkopo huo unalenga kutoa nafasi za ajira laki moja na mafunzo ya ufundi stadi kwa vijana laki 1.11, nusu yao wakiwa wanawake.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako