• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Wachambuzi wa sekta ya utangazaji wa radio watoa wito wa kutumia teknolojia mpya ili kupata fursa nyingi zaidi za maendeleo

    (GMT+08:00) 2019-02-13 17:13:14

    Leo tarehe 13 Februari ni "Siku ya Radio Duniani" ambayo iliamuliwa na Shirika la Umoja wa Mataifa la elimu, sayansi na utamaduni UNESCO.

    Kauli mbiu ya siku hiyo kwa mwaka huu ni "Mazungumzo, uvumilivu na amani", na inalenga kuadhimisha umuhimu wa matangazo ya radio katika kuhamasisha ushiriki na kuhimiza maelewano kati ya wananchi.

    Wachambuzi wanaona kuwa, vyombo vya habari vya radio vinapaswa kutumia fursa nzuri ya maendeleo ya teknolojia mpya kama vile mitandao ya kijamii na 5G, ili kutoa bidhaa na huduma bora zaidi.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako