• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rais wa Venezuela aitaka nchi hiyo kutokuwa na hofu ya vita

    (GMT+08:00) 2019-02-13 18:26:20

    Rais Nicolas Maduro wa Venezuela ameitaka nchi hiyo kutokuwa na hofu ya vita na kudumisha hali ya amani.

    Akizungumza jana mjini Caracas, Rais Maduro pia ameutaka upande wa upinzani utafute njia ya amani kwa kutatua mgogoro wa siasa nchini humo.

    Wakati huohuo, waziri wa mambo ya nje wa Russia Bw. Sergei Lavrov jana alizumgunza na waziri wa mambo ya nje wa Marekani Bw. Mike Pompeo kwa njia ya simu, na kuionya Marekani isiingilie kati mambo ya ndani ya Venezeula. Pia alieleza kuwa misaada ya kibinadamu ambayo Marekani inapeleka nchini Venezeula inalenga kuvunja utulivu wa nchi hiyo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako