• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Raia watano wa kigeni wafariki katika ajali ya ndege kaskazini magharibi mwa Kenya

    (GMT+08:00) 2019-02-13 19:14:24

    Kamanda wa polisi wa Kaunti ya Kericho Edward Mwamburi amesema, raia watano wa kigeni wamefariki baada ya ndege ndogo waliyopanda kuanguka kwenye kaunti hiyo iliyoko kaskazini magharibi mwa Kenya.

    Kamanda huyo amesema, raia hao walikuwa njiani wakielekea Lodwar kutokea hifadhi maarufu ya taifa ya Kenya, Masai-Mara ambapo ndege yao ilipata hitilafu ya kiufundi na kuanguka kwenye eneo la Kamwingi mjini Londiani.

    Nimezungumza na Ronald Mutie kuhususiana na ajali hiyo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako