• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Mashirika ya ndege ya Afrika mashariki yapanua oparesheni zao

    (GMT+08:00) 2019-02-13 20:25:30

    Mashirika ya ndege ya Afrika Mashariki yanapanga kupanua oparesheni zake barani humo nan je ya Afrika.

    Shirika la ndege la Tanzania lipanga kuanzisha safari za kwenda nchini Zambia na Zibambwe ndani ya wiki mbiliz zijazo.

    Meneja mkurungezi wa shirika hilo amesema pia wanapanga kuanza safari za mbali kwenda China na India pindi tu watakakapokea idhini ya uanachama wa shirika la kimataifa la usafiri wa anga IATA.

    Amesema shirika hilo lina ndege sita tayari za kuliwezesha kupanua oparesheni zake.

    Nayo mashirika la Kenya airways na Rwandair yanapanag kuanza safari zao kwenda Tel Aviv nchini Israel.

    Kenya airways pia inapanga kuanza safari za Rome na Geneva kuanzia mwezi Juni.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako