• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rais wa Sudan atangaza mwaka 2019 kuwa mwaka wa amani kwa Sudan

    (GMT+08:00) 2019-02-14 08:50:31

    Rais Omar al-Bashir wa Sudan amesema mwaka huu utakuwa mwaka wa amani kwa Sudan.

    Akihutubia sherehe ya vikosi vya wanamgambo PDF mjini Khartoum, rais al-Bashir amesema mwaka huu utakuwa mwaka wa amani utakaotokomeza kabisa mapambano ya kisilaha nchini humo.

    Rais al-Bashir amesisitiza ufuatiliaji wa serikali yake kwa vijana na kuwataja kama nguvu chanya, na kusema serikali yake inawajali vijana na inafanya juhudi kutimiza matarajio yao.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako