• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Katibu mkuu wa UM asisitiza nafasi ya radio katika mawasiliano

    (GMT+08:00) 2019-02-14 09:02:45

    Katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa Bw. Antonio Guterres amesisitiza umuhimu wa radio akisema inawafikia watu wengi zaidi kuliko vyombo vingine vya habari, katika dunia hii inayokumbatia mawasiliano ya kidijitali. Akiongea kwenye ujumbe wake kwa njia ya video katika Siku ya Radio Duniani iliyoangukia jana, amesema kwa Umoja wa Mataifa, haswa katika operesheni zake za kulinda amani, radio ni njia muhimu ya kuarifu, kuunganisha na kuwawezesha watu wanaoathiriwa na vita, pia ina nguvu katika kuhimiza mazungumzo, uvumilivu na amani.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako