• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Muungano unaoongozwa na Saudi Arabia katika vita vya Yemen wakanusha shutuma nne

    (GMT+08:00) 2019-02-14 09:03:33

    Muungano unaoongozwa na Saudi Arabia katika vita nchini Yemen umekanusha shutuma nne kuhusu kuwaua raia wasio na hatia katika operesheni zake za kijeshi nchini humo. Katika miaka mitatu iliyopita, Saudi Arabia imekuwa ikiongoza vita nchini Yemen dhidi ya waasi wa Houthi ambao ni wenzi wa Iran, ili kuunga mkono serikali iliyopinduliwa ya Yemen.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako