• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rwanda: Rwanda yaongeza uzalishaji nafaka

    (GMT+08:00) 2019-02-18 20:17:40

    Serikali ya Rwanda imesema imepunguza uagizaji wa nafaka kutoka nje na hivyo haitatumia tena franc bilioni 4 kufanya hivyo kila mwaka.

    Imesema kuwa sasa imeongeza uzalishaji wa ndani ya nchi wa nafaka kama vile mahindi, ngano na soya.

    Mkurungezi wa kitengo cha kilimo kwenye halmashauri ya maendeleo ya Rwanda Egide Gatari, amesema uzalishaji wa ndani ya nchi unalenga aina 8 ya vyakula.

    Amesema tayri zaidi ya tani 2,300 za mbegu za mahindi zimezalishwa ndani ya nchi na tani 1,400 zitasambazwa kwa wakulima kwenye msimu huu wa upanzi.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako