• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Uingereza na nchi za Afrika wasaini makubaliano ya kibiashara

    (GMT+08:00) 2019-02-18 20:19:52

    Uingereza imesaini makubaliano nan chi za Mashariki na Kusini mwa Afrika ili kuendelea kufanya biashara nazo hadi pale Uingereza itakapojiondoa kwenye umoja wa Ulaya Machi 29.

    Makubaliano hayo yanalenga kuhakikisha kuwa biashara kati ya Uingereza nan chi za Afrika haitaathirika na brexit na kwamba nchi hizo zitaendelea kuuza sehemu ya bidhaa zao Uingereza bila ushuru.

    Waziri wa biashara wa Uingereza George Hollingbery amesaini makubaliano hayo mjini London akiwa kwanza na wawakilishi wa serikali za Mauritius, Seychelles, Comoros, Zimbabwe na Madagascar.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako