• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Eac yatafuta dola milioni 985 za maendeleo

    (GMT+08:00) 2019-02-18 20:21:05

    Jumuiya ya Afrika Mashariki Yatafuta dola milioni 985 za kufadhili mikakati yake ya miaka 5 ijayo.

    Katibu mkuu wa jumuiya hiyo Liberat Mfumukeko ameiomba benki ya maendele ya Afrika AfDB kusaidia kwenye ufadhili huo ambao utatumika hasa kwenye miradi ya kilimo.

    Akizungumza kwenye mkutano wa hivi karibuni mjini Abidjan, Ivory Coast, bwana Mfumukeko alipongeza benki hiyo kwa kuendelea kusaidia EAC kwenye miradi yake ya miundo mbinu.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako