• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kenya: Kaunti zenye hali ngumu kupokea fedha zaidi

    (GMT+08:00) 2019-02-19 18:51:21

    Kaunti ya Turkana nchini Kenya inatarajiwa kupata fedha nyingi zaidi kutoka kwa hazina ya usawazishaji iwapo serikali itaidhinisha mfumo mpya wa ugawaji wa mapato.

    Tume ya kugawa mapato CRA imechapisha sera ya pili kuhusu utaratibu wa kugawanya fedha kwa kaunti 34 kati ya 47 zenye hali ngumu za maisha nchini humo.

    Wizara ya fedha imetenga shilingi bilioni 5.7 kwa kaunti hizo na turkana ambayo iatapata asilimia 11.4 ya fedha hizo itakuwa ndio ya kwanza.

    Kaunti nyingine ambazo zitapokea kiasi kikubwa cha fedha hizo ni pamoja na

    West Pokot (Sh576 millioni) Narok (443 millioni) na Wajir (Sh408 millioni).

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako