• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Ethiopia: Kampuni ya China kujenga bomba la gesi Ethiopia

    (GMT+08:00) 2019-02-19 18:53:11

    Kampuni ya China Poly-GCL Petroleum inatarajiwa kuanza ujenzi wa bomba le gesi asilia kati ya Ethiopia-Djibouti

    Wizara ya madini na petrol ya Ethiopia imesema bomba hilo litakuw ana urefu wa kilomita 767 na ujenzi wake unatarajiwa kuanza mwaka huu.

    Wakati wa ujenzi wa bomba hilo nchi hizo mbili zitapata fedha zaidi za kigeni ambazo zimekuwa ni tatizo kwa ufanyaji wa biashara za kimataifa.

    Mwaka jana Serikali ya Ethiopia ilitangaza kuwa inalenga kupata dola biloni 1 kutoka kwa mauzo ya gesi na mafuta.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako