• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Uganda: Mauzo ya Chai ya Uganda yaongezeka mwaka 2018

    (GMT+08:00) 2019-02-19 18:59:25
    Chama cha Chai nchini Uganda kimesema kuwa mauzo ya bidhaa hiyo ya mwaka jana yalikuwa ndio ya juu zaidi kuwahi kupatikana huku kukiwa na ongezeko la asilimia 15.

    Wadau kwenye sekta ya chai wamesema mauzo hayo yamechangiwa na ongezeko la uzalishaji.

    Taakwimu zinaonyesha kuwa mwaka 2018 Uganda ilizalisha na kuuza nje magunia milioni 71 ya chai.

    Katibu mkuu wa chama cha chai nchini humo George William Ssekitooleko hata hivyo amesema, mauzo kupitia mnada wa Mombasa mwaka huu yamepungua.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako