• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Vyombo vya habari vyafuatilia tamasha la sikukuu ya taa la CMG

    (GMT+08:00) 2019-02-19 21:33:57

    Vyombo vya habari vya ndani na nchi za nje vimefuatilia tamasha la sikukuu ya taa ya China iliyoandaliwa na Shirika Kuu la Utangazaji la China CMG.

    Taarifa iliyotolewa jana na CMG kuhusu tamasha hilo imenukuliwa na vyombo vya habari vya China vikiwemo Gazeti la Renminribao, Shirika la habari la China Xinhua, Gazeti la Nanfangribao, Gazeti la Nanfangdushi, Gazeti la Jioni la Qianjiang na Gazeti la Biashara la Chengdu, na vyombo vya habari vya nchi za nje vikiwemo Gazeti la Nordic Chinese Times, Gazeti la African Times na tovuti za vyombo mbalimbali vya habari.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako