• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • SOKA: Ligi ya Mabingwa Ulaya- Hakuna Mbabe mechi za jana.

    (GMT+08:00) 2019-02-20 08:16:18

    Ligi ya mabingwa barani Ulaya hatua ya 16 bora jana mechi mbili zilipigwa katika viwanja tofauti. Liverpool imeikaribisha Bayern Munich, hadi kipenga cha mwisho cha mwamuzi timu hizo zilitoka kwa sare ya bila kufungana.

    Mechi nyingine ilikuwa baina ya Barcelona na Lyon, nazo zilimaliza mchezo wao bila timu kugusa nyavu za mwenzake na kufanya matokeo kuwa sare ya bila bila.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako