• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Marais wa Korea Kusini na Marekani wafanya mazungumzo

    (GMT+08:00) 2019-02-20 09:29:41

    Rais Moon Jae-in wa Korea Kusini na rais Donald Trump wa Marekani wamefanya mazungumzo kwa njia ya simu kuhusu mkutano wa pili utakaofanyika hivi karibuni kati ya rais Donald Trump na kiongozi wa Korea Kaskazini Bw. Kim Jong Un.

    Ikulu ya Korea Kusini imesema marais hao wawili wamejadili njia za kufanya ushirikiano ili kufanikisha mkutano wa pili kati ya rais Trump na Bw. Kim Jong Un.

    Rais Moon ameeleza matumaini yake kuwa mkutano wa pili kati ya viongozi wa Marekani na Korea Kaskazini utakuwa hatua muhimu ya kutimiza kutokuwepo kwa silaha za nyuklia kwenye peninsula ya Korea, na maendeleo ya uhusiano kati ya Korea Kaskazini na Marekani.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako