• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • MASUMBWI: Kuelekea mpambano wa ubingwa wa dunia, Miller na Joshua watoleana mapovu mbele ya wanahabari

  (GMT+08:00) 2019-02-21 08:17:42

  Mabondia Jarrell Miller na Anthony Joshua wametoleana tambo mbele ya waandishi wa habari kuelekea mpambano wao wa ubingwa wa dunia uzito wa juu utakaopigwa Juni 1 mwaka huu katika ukumbi wa Madson Square garden.

  Mabondia hao almanusura wazichape kwenye mkutano huo wa wandishi wa habari baada ya Miller kumsukumiza Joshua, na Joshua kupandwa na jazba kutaka kuanza kumshushia Makonde, shukrani kwa wanausalama waliokuwepo walifanikiwa kuwazuia.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako