• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • GDC kuzalisha megawati 300 za kawi ya mvuke Baringo

  (GMT+08:00) 2019-02-25 19:59:52
  Kampuni ya kuzalisha kawi ya mvuke nchini Kenya GDC inatarajiwa kupokea shilingi bilioni 1.3 kuchimba visima vya kuzalisha kawi hiyo katika kaunti ya Baringo.

  Fedha hizo zitatolewa na hazina ya kukinga Hatari ya Kimazingira (GRMF) na zitatumiwa kufadhili asilimia 40 ya gharama zinazohusiana na uchimbaji wa visima kwenye maeneo matatu ya Silali, Paka and Korosi

  Kampuni hiyo inalenga kuzalisha megawati 300 za kawi kutoka eneo hilo kati ya sasa na mwaka 2030.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako