• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Sekta ya vinyago kuajiri watu 10,000 Uganda

  (GMT+08:00) 2019-02-25 20:00:34
  Serikali ya Uganda inapanga kufungua nafasi 10,000 za kazi katika sekta ya utengenezaji vinyago.

  Tayari impata dola milioni 1.5 za kufadhili hasa vijana kuingia kwenye sekta hiyo.

  Waziri wa biashara Amelia Kyambadde, amesema mradi huo utatekelezwa na wizara ya utalii.

  Kyambadde amesema fedha hizo dola milioni 1.5 zitatumika kuboresha uwezo na ubora kwenye sekta hiyo.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako