Ameeleza kumekuwa na changamoto kubwa lakini hawakati tamaa wakiendelea na mapambano ya kufanikisha azimio hilo. Haijajulikana hadi sasa bingwa wa ligi hiyo msimu huu atapata nini kwasababu ya kukosekana mdhamini tangu kujiondoa kwa Vodacom ambao walikuwa wadhamini wa siku za nyuma
© China Radio International.CRI. All Rights Reserved. 16A Shijingshan Road, Beijing, China. 100040 |