• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • SOKA: Ligi kuu ya Uganda yaelekea ukingoni, kila timu yajiweka sawa

    (GMT+08:00) 2019-02-28 08:11:58
    Imesalia michezo 10 tu kabla ya msimu huu wa ligi kuu ya Uganda kufikia tamati, ushindani wa nani kunyakuwa ubingwa wa ligi hiyo umeongezeka hasa kwa timu za KCCA na Vipers kupewa nafasi kubwa ya kutwaa ubingwa huo.

    KCCA inaongoza msimamo wa ligi hiyo kwa kuwa na alama 45 huku ikiiacha Vipers kwa tofauti ya alama tatu. Vipers iko nafasi ya pili kwa kuwa na alama 42, Mbarara City yenyewe iko nafasi ya tatu na nafasi ya nne inashikiliwa na URA. Nyamityobora yenyewe inashika mkia wa msimamo wa ligi hiyo kwa kuwa na alama 12.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako