• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • SOKA: Kombe la Mfalme- Madrid yaendelea kuwa mdebwedo kwa Barca

    (GMT+08:00) 2019-02-28 08:12:16
    Real Madrid imeendelea kuwa mdebwedo kwa Barcelona baada ya kukubali kichapo cha mabao 3-0 katika mchezo wa kombe la mfalme usiku wa kuamkia leo.

    Madrid iliyokuwa nyumbani kwenye uwanja wa Santiago Bernabeu imeruhusu kichapo hicho na kuongeza uteja dhidi ya wakali hao wa Catalunya.

    Mabao ya Barca ymefungwa na Luis Suarez aliyefunga mabao 2 na Raphael Varane goli moja. Matokeo hayo sasa yanaipeleka Barcelona fainali ya michuano hiyo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako