• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • SOKA: Matokeo ya michezo ya ligi Kuu Uingereza (EPL) iliyopigwa jana

    (GMT+08:00) 2019-02-28 08:12:35
    Ligi kuu ya Uingereza (EPL) imeendelea jana kwa michezo kadhaa kupigwa katika viwanja tofauti, Arsenal imefanya maangamizi kwa kuipachika AFC Bournemouth mabao 5-1, Southampton wameibuka na ushindi wa goli 2-0 dhidi ya Fulham, Nao watoto wa Stamford Bridge Chelsea wamepata ushindi wa magoli 2-0 dhidi ya Tottenham Hotspur, Crystal Palace imejikuta ikikubali kipigo cha mabao 3-1 toka kwa Manchester United, Liverpool imeipa kichapo cha mwizi Watford cha magoli 5 nunge, na Manchester City imepata ushindi kiduchu wa goli 1-0 dhidi ya West Ham United.
    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako