• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • SOKA LA UFUKWENI: Mashindano kuanza kutimua vumbi

    (GMT+08:00) 2019-03-01 08:37:26
    Achana na mpira wa miguu unaochezwa kwenye uwanja wa nyasi fupi au kapeti za majani bandia, uhondo mwingine ni soka la ufukweni, ligi kuu ya soka la ufukweni Tanzania bara inatarajia kuanza kutimua vumbi jumamosi ijayo.

    Katibu wa timu ya Tabata Houth inayoshiriki ligi hiyo Clement Godfrey Makoyola amesema timu yake imejiandaa vyema na kuwa watakuwa tishio kwa wapinzani wao.

    Amewataka watanzania kuanza kuunga mkono mchezo huo kama ilivyo soka la kawaida.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako