• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • SOKA: Man City wapata dili PUMA, wataachana na NIKE

    (GMT+08:00) 2019-03-01 08:39:02
    Klabu ya soka inayoshiriki ligi kuu ya Uingereza (EPL), Manchester City jana imetangaza kupata dili kubwa toka kampuni ya vifaa vya michezo ya PUMA baada ya kampuni hiyo kushinda zabuni.

    Man Cityimeripotiwa sasa itaacha kutumia vifaa vya kampuni ya NIKE baada ya kuingia mkataba huo mkubwa na kampuni ya PUMA utakaofanywa walipwe mkwanja mrefu kwa mwaka.

    Mkataba wa NIKE na Man City unamalizika mwisho wa msimu huu, mkataba wa Man City na PUMA ni wa miaka 10 ambao unathamani ya pauni 650, kwa maana hiyo Man City watakuwa wanalipwa Pauni milioni 65 kila mwaka.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako