• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • SOKA: Lukaku aliamsha, ataka kutimka Juventus

    (GMT+08:00) 2019-03-01 08:39:58
    Mshambuliaji wa Romelu Lukaku amefichua kuwa anampango wa kwenda kujiunga na klabu ya Juventus mwisho wa msimu huu kama Manchester United itaamua kumfungulia mlango wa kutokea.

    Mshambuliaji huyo raia wa Ubelgiji amejikuta akikosolewa na mashabiji wa Manchester United msimu huu kutokana na kiwango chake kulegalega kwa kupanda na kushuka.

    Hadi sasa Lukaku amefunga mabao 10 tu na kumfanya kocha Ole Gunnar Solskjaer kuamua kumchezesha pembeni kwa sababu katikati amekuwa hana maajabu.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako