• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • 40 waitwa kikosi cha awali timu ya taifa ya DRC.

    (GMT+08:00) 2019-03-04 11:47:20
    Jumla ya wachezaji 40 wameitwa katika kikosi cha awali cha timu ya taifa ya DRC the Leopards. Benchi la ufundi linaongozwa na kocha mkuu wa timu hiyo Frolent Ibege atasaidiwa na Mwinyi Zahera amesema wamewaita wachezaji hao kabla ya kufanya mchujo na kusalia na wachezaji 23 watakaocheza mechi ya mwisho ya kuwania fainali za AFCON 2019 zitakazofanyika Misri.

    Naye Mwinyi Zahera amebainisha kuwa zoezi la kuchuja wachezaji hao hadi kubakiwa na wachezaji 23 kwenye kikosi hicho si jambo dogo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako