• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Matokeo ya kombe la Shirikisho barani Afrika

    (GMT+08:00) 2019-03-04 11:47:39
    Mechi mbili za kundi D katika michuano ya Shirikisho barani Afrika zimechezwa usiku wa jana, Gor Mahia ya Kenya imeshuka dimbani dhidi ya wenyeji wao Nasr Athletique de Hussein Dey kwenye uwanja 5 Julliet 1962 jijini Algiers Algeria.

    Gor Mahia imekubali kipigo cha goli 1-0 toka kwa Nasr Hussein Dey, nayo Zamalek ya Misri imefanikiwa kuifunga Petro Atletico gli 1-0.

    Michezo mingine Al Hilal Omdurman imeichapa Zesco United kwa goli 3-1, nayo Asante Kotoko ya Ghana ikiifunga Nkana FC ya Zambia kwa jumla ya magoli 3-0 kwenye kundi C. Matokeo ya kundi B, Etoile De Sahel imeifunga Enungu Rangers kwa jumla ya goli 2-0, huku CS Sfaxien imetoka sare ya 0-0 na Salitas.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako