• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kenya: Fuliza kukopesha zaidi ya shilingi bilioni 200 mwaka huu

    (GMT+08:00) 2019-03-04 19:00:59
    Kampuni ya huduma za mawasiliano nchini Kenya Safaricom imesema inatarajia wateja wake kukopa hadi shilingi bilioni 200 ndani ya mwaka mmoja ujao kupitia huduma mpya ya fuliza.

    Wataalam wanasema wakati wa muda huo fuliza itazalisha ushuru wa shilingi bilioni 2.

    Fuliza ilizinduliwa mapema mwaka huu na wateja hukopa kiasi Fulani cha fhedha ili kukamilisha ulipaji au kutuma pesa kupitia kwa Mpesa.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako