• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rwanda: Volkswagen yaanza kuunganisha magari Rwanda

    (GMT+08:00) 2019-03-04 19:01:21

    Kampuni ya utengenezaji magari ya Ujerumani Volks Wagen imeanza kuunganisha magariu nchini Rwanda.

    Tayari magari 55 yameunganishwa na inapanga kuongeza mengine 35 kabla ya mwisho wa mwezi huu ili kukidhi mahitaji.

    Volks Wagen ilizindua oparesheni zake nchini Rwanda mwezi Juni mwka 2018 na inalenga kuunganisha magari 1,000 kwa mwaka.

    Mkurungezi wa kampuni hiyo nchini Rwanda Michaella Rugwizangoga amaesema wanazalisha magari aina ya SUV Terramont na Amarok ambayo yanapendelewa kwenye soko la nchi hiyo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako