• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Uganda: Mwanya wa uuzaji na uagizaji kuongezeka kwa dola milioni 882

    (GMT+08:00) 2019-03-04 19:01:47
    Benki kuu ya Uganda imesema kuwa mwanya wa uuzaji na uagizaji utaongezeka kwa dola milioni 882 kufikia mwezi juni 2019.

    Ongezeko hilo kulingana a benki hiyo litatokana na kuongezeka kwa bidhaa zinazoagizwa kutoka nje.

    Serikali na sekta ya kibinafsi zimechangia kuongezeka kwa bidhaa zinazoagizwa hasa kuelekea uwekezaji kwenye sekta ya mafuta.

    Na kulingana na benki hiyo, mwanya huo unatarajiwa kuongezeka hadi dola bilioni 2.1 mwishoni mwa kipindi cha fedha cha 2019/20.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako