• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Uganda: Benki ya maendeleo ya Uganda kuanzisha upya sekta ya chumvi

    (GMT+08:00) 2019-03-04 19:11:59

    Benki ya maendeleo ya Uganda imesema kuwa imekamilisha mipango ya kuanzisha upya sekta ya kuzalisha chumvi ya Katwe katika wilaya ya Kasese.

    Kiwanda cha chumvi cha Katwe kiliporomoka miaka ya 70 licha ya kuwa miongoni mwa sekta zenye mapato makubwa enzi hizo.

    Mkurungezi wa uwekezaji kwenye benki hiyo Mahamoud Andama, amesema sasa Uganda huagiza chumvi kutoka Kenya na hivyo kutumia mabilioni ya fedha.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako