• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kenya: Kongamano kuhusu mbegu lafunguliwa Kenya

    (GMT+08:00) 2019-03-04 19:02:56
    Zaidi ya wajumbe 100 wako mjini Mombasa nchini Kenya kuhudhuria kongamano la mbegu.

    Kongamano hilo limefunguliwa hivi leo na litaendelea hadi tarehe 7.

    Chama cha wauzaji mbegu cha Afrika kimesema kuwa kongamano hilo litatoa fursa kwa washiriki kujadili biashara kwenye viwango vya kitaifa na kimataifa.

    Pia wakati wa kongamano hilo wanasayansi watawasilisha matokeo ya utafiti kuhusu wadudu wanaoathiri kilimo barani Afrika.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako