• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • China yahusisha kwa mara ya kwanza utoaji wa ajira kwenye sera za serikali

    (GMT+08:00) 2019-03-05 16:32:10

    Waziri mkuu wa China Bw. Li Keqiang amesema kwenye ripoti ya kazi ya serikali kuwa, China itatoa kipaumbele katika utoaji wa nafasi za ajira. Mwaka huu ni mara ya kwanza kwa China kuhusisha kipaumbele cha utoaji wa nafasi za ajira kwenye sera za serikali, hatua ambayo inalenga kuzihimiza pande mbalimbali kuzingatia na kuunga mkono utoaji wa nafasi za ajira.

    Mwaka 2019, ongezeko la idadi ya watu watakaopata ajira mijini na vijijini linakadiriwa kuzidi milioni 11, kiwango cha ukosefu wa ajira mijini na vijijini kinatarajiwa kuwa asilimia 5.5.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako