• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • China kufungua zaidi soko kwa kampuni za nje zenye mitaji

    (GMT+08:00) 2019-03-05 16:37:17

    Waziri mkuu wa China Bw. Li Keqiang ameahidi kuwa China itapanua zaidi uingiliaji wa soko, kupunguza sekta ambazo uwekezaji wa kigeni haukubaliwi na kuruhusu biashara ya kampuni za kigeni pekee katika sekta nyingi zaidi.

    Aidha amesema China italipa Eneo la Majaribio la Biashara Huria haki ya mageuzi na uvumbuzi, kuongeza Eneo jipya la Biashara Huria mjini Shanghai, kuhimiza ujenzi wa Eneo la Biashara Huria mkoani Hainan, na kutathmini ujenzi wa bandari ya biashara huria yenye sifa za Kichina.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako