• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rwanda: Vijana kupata mafunzo ya kazi Rwanda

    (GMT+08:00) 2019-03-07 20:09:45
    Serikali ya Rwanda imewekeza franc bilioni 2 kutoa mafunzo ya sekta mbalimbali kwa vijana wapatao 9, 000.

    Mafunzo hayyo ya mwaka mmoja kwa sekta kama vile utengenezaji bidhaa, kawi na uchukuzi ambayo yatawawezesha kupata ajira.

    Mkurungezi wa mamlaka ya nguvu kazi Pascal Gatabazi,amesema mpango huo ni sehemu ya dola milioni 24 zilizotolewa na benki ya dunia kusaidia kuendeleza ujuzi nchini Rwanda.

    Alisema kwa jumla utoaji huo wa mafunzo utasaidia kampeni ya serikali ya kutengeza bidhaa nzani ya nchi na kufungua nafasi zaidi za kazi.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako