• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Uganda: Watumiaji wa simu Uganda waongezeka.

    (GMT+08:00) 2019-03-07 20:10:39
    Watumiaji wa simu za mkononi nchini Ugaanda wameongezeka hadi milioni 23.2.

    Tume ya mawasiliano nchini humo wameongezeka kwa milioni 1.6 kati ya Juni na Septemba mwaka uliopita.

    Tume hiyo imesema imepata taakwimu kutoka kwa laini mpya za simu zilizosajiliwa na kampuni mbalimbali za mawasiliano nchini humo.

    kampuni ya MTN ina mgao wa asilimia 46 wa soko Airtel asilimia 44 nayo Africell ikiwa na asilimia 9.5.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako