• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Uganda: Madereva wa watalii kupata mafunzo Uganda

    (GMT+08:00) 2019-03-07 20:10:55
    Serikali ya Uganda imesema madereva wote wanaosafirisha watalii watahitajika kusajiliwa kabla ya mwosho wa mwaka huu.

    Chama cha wadau wa utalii nchini humo pia kimesema kitatoa mafunzo kwa madereva hao.

    Naibu mwenyekiti wa chama hicho Herbert Byaruhanga, amesema madereva ndio hutumia muda mwingi na watalii na hivyo wanahiytaji mafunzo maalum ili kukuza sekta hiyo.

    Uganda imekuwa mbioni kuongeza idadi ya watalii ikilenga watalii milioni 1.2 mwishoni mwa mwaka huu.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako