• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • SOKA: Ligi ya Ulaya ya UEFA (UEFA Europa League)- Matokeo ya kipute cha jana usiku

    (GMT+08:00) 2019-03-08 08:02:12

    Jana usiku zimechezwa mechi za kwanza za hatua ya 16 bora, Chelsea wakiwa nyumbani wameikaribisha Dynamo Kyiv kwa kuipiga mabao 3-0, mahasimu wa Chelsea washika bunduki Arsenal walikuwa ugenini kwa Rennes na kukubali kichapo cha magoli 3-1, Valencia wao wametoka kifua mbele kwa kuifunga FC Krasnodor bao 2-1, wakati Sevilla zimetoshana nguvu ya bao 2-2 na Slavia Prague , Villareal wameibamiza Zenit St. Petersburg kwa jumla ya bao 3-1, Inter Milan imetoka sare ya bila kufungana na Eintracht Frankfurt, Napoli imefanikiwa kushinda 3-0 dhid ya Salzburg na Dinamo Zagreb imetoaka na ushindi kiduchu wa goli 1-0 dhidi ya Benfica.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako