• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • KIKAPU: LeBron James ahidi kumpiku Michale Jordan

    (GMT+08:00) 2019-03-08 08:02:33

    LeBron James wa LA Lakers amethibitisha yeye ni gwiji la mpira wa kikapu duniani bada ya kumpita nyota mwingine Michael Jordan kwa pointi katika ufungaji katika ligi ya mpira wa kikapu ya Marekani (NBA).

    James alikuwa anashikilia nafasi ya 5 lakini sasa yuko nafasi ya nne na kama ataendelea anaweza kufikia nafasi ya tatu kwa kuwa Jordan na Kobe Bryant walishastaafu.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako