• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rais Xi asisitiza umuhimu wa kutekeleza mkakati wa kuongeza nguvu katika maeneo ya vijijini

    (GMT+08:00) 2019-03-08 19:16:50

    Rais Xi Jinping wa China ametoa wito wa juhudi zaidi katika kutekeleza mkakati wa kuongeza nguvu kwenye maeneo ya vijijini, lengo kuu likiwa kufanya kilimo cha kisasa katika maeneo ya vijijini.

    Rais Xi ambaye pia ni mwenyekiti wa Kamati Kuu ya Kijeshi ya China, amesema hayo alipokutana na wajumbe kutoka mkoa wa Henan wamaohudhuria mkutano wa bunge la umma la China unaoendelea hapa Beijing.

    Amesema kazi muhimu katika utekelezaji wa hatua hiyo ni kuhakikihsa upatikanaji wa zana muhimu za kilimo, hususan nafaka.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako