Miradi hiyo itafadhiliwa kwa kipindi cha miaka minne na ubalozi wa uholanzi nchini humo kwa gharama ya euro milioni 16.2.
Balozi wa Uholanzi nchini humo bibi Frédérique de Man amesema kilimo ni muhimu kwa uchumi wa Rwannda na hivyo Uholanzi itaendelea kutoa msaada.
Mwaka uliopita Rwanda ilipata dola milioni 25 kutokana na mauzo ya bidhaa za kilimo.
© China Radio International.CRI. All Rights Reserved. 16A Shijingshan Road, Beijing, China. 100040 |